Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Tunawaona Wachezaji wa simba hawana morale kumbe ndio uwezo wao umeishia hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli hakuna cha sababu yoyote inahitajika wamfikie yanga!Kubwa ni kwenda makundi hakuna kujipa moyo...
Kwani upo redioni[emoji23]Naitwa Dotto kutoka Nyakanazi. Naitakia Pawa Dainamo ushindi wa goli mbili. Ujumbe, michezo ni upendo.
Mshauri kocha afanyeje kipindi cha pili tufufukeYakiwa hivyo kesho hatutaki kumuona kocha ofisini.
Half time dynamos washakumbana na midawa huko vyumbani wakirudi awatoboiSwahiba kashakula kimoja huko. 🤣🤣
Miye nakataaaa,awepo kipindi Cha piliHivi ni Mimi tu ninayetaka Ngoma asirudi kipindi cha pili au tuko wengi?
Haya yalishapita, Hata kama ulikuwa sahihi unataka tufanyaje?Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com
Yaani tumerelax wajmaa wanachanja mbuga balaaTimu yetu hadi sasa haina mipango kabisa, hakuna presha wanaipeleka.
Muda bado upo lakini.