FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

IPO SIKU SIMBA NA YANGA WATACHEZA FAINALI CAFCL
 
Simba ni moja ya timu zenye wachezaji wazuri sana katika ukanda wetu wa Africa mashariki na kati, tatizo ninaloliona kwa simba japo mimi sina taaluma ya ukocha ila naona mbinu na falsasa za Robertinho zimekwama. Tunashuhudia timu ikicheza bila malengo, hakuna maelewano kwa wachezaji uwanjani na zaidi ya yote timu haina muunganiko kabsa. Ni vema viongozi wa simba wakachukua hatua za haraka kwanza kwa kumfuta kazi kocha Robertinho kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Tatizo la Simba Sc ni kocha, sio kikosi.
 
Mimi mtetezi namba moja wa Robertinho lakini hapa nakiri uwezo umeishia hapo. Timu irudi kwa Mgunda tupate kocha serious zaidi!

Binafsi nilitegemea changes kubwa mno leo lakini imekuwa worse. Its enough, uvumilivu unatosha.
Wachezaji wa kutema
1.Ayoub.
2. Kanute
3. Phili.
4. Onana.
5. Miquisson.
6. Aubin Kramo.
Power DYNAMO ina skilled players kuliko hata huyo ONANA.....

Poor scouting...
 
Sisi Simba tushazoea kutinga kwenye hii hatua, ngoja tuwaelekeze hawa walioingia kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25, kule hakuna vibonde
Ushazoea ila kutwa kucha unaishia palepale. Hajui hata lini mlishawahi vuka robo.
 
Back
Top Bottom