FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

Wale mashabiki wa Wydad baada ya kupigwa bao la offside wamepooa
 
15'

Huyu mchezaji namba 17 wa Mamelody amejiangusha tu sema refa ameshindwa kuona, haikupaswa kuwa faulo
 
17'

Namba 25 mgongoni wa Mamelody qakati anapokea mpira kwa kuutuliza kwa kifua ulipitiliza hadi kwenye mkono, Wydad wakamzonga refa awape penati lakini amegoma
 
Huyu Sven Vanderbrok akumbuke CV yake ya kuwa kocha bora ameipatia Simba
 
18'
Mchezaji wa Wydad anasukumwa nje kidogo na eneo la penalty box la lango la Mamelody
 
Mpira umesimama kidogo kupisha kucheki afya ya mchezaji aliyeanguka kwa kusukumwa na baadaye tujue maamuzi ya refa kufuatia tukio hilo
 
Ebhana wangeacha lile goli hii var ni nuksi kwa baadhi ya timu
 
Refa ameuamua kuwa haikuwa faulo bali ni fair challenge na sasa mpira umeanza kama goal kick
 
Mpira umechanganya huku Mamelody wakimiliki zaidi mchezo
 
Mamelody hawataki mambo mengi, wanacheza counter sana
 
Back
Top Bottom