FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

23'

Mamelody wanafanya shambulizi hapa mpira unaenda nje ya lango lakini wakati huo kibendera alikwisha nyoosha kuashiria offside
 
Wydad wanakosa nafasi ya wazi hapa kwenye shambulizi lao la dakika ya 24
 
Nao Mamelody wamekuja kujibu shambulizi lakini mpira umeenda nje ya lango
 
Mamelody wanakaba utafikiri wanga
 
26'

Hatari kwenye lango la Mamelody hapa lakini beki anaondoa mpira kwa kichwa kuepusha hatari
 
28'

Kadi ya njano inatolewa hapa kwa mchezaji wa Mamelody mwenye jezi namba 17
 
Hawa Wydad Wa Seven Mbona wako Moto Hivi? Ndio tulio cheza nao Simba? Basi Simba Tulikuwa Bora sana
 
Dakika ya 30 bado milango ni migumu
 
32'
Mchezaji wa Wydad jezi namba 5 amepewa kadi ya njano kwa kucheza rafu
 
34'

Mamelody wanafanya shambulizi lakini linadhibotiwa nalinda mlango wa Wydad
 
Mpira ukifika kwenye goli la Mamelody unadhibiitwa kirahisi yani unakuwa hauna madhara kabisa
 
36'

Katika ya uwanja mchezaji wa Mamelody anajaribu kuachia mkwajua kumpima golikipa lakini inakuwa nyepesi mno
 
Back
Top Bottom