FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

45+2
Mchezaji wa Mamelody Namba 14 anapokea kadi ya njano
 
Mamelody hata wakibaki wawili uwanjani ila wanaweza wakakufanya upaki basi
 
Naombeni mnishawishi niamini kuwa Mamelody wako pungufu
 
Wydad ambao wapo kwao wamemiliki mpira kwa 39% dhidi ya mgeni Mamelody ambaye alikuwa na umiliki wa 61%

Hiyo inatoa tafsiri gani kueleke second leg kule kwa Madiba?
 
Wydad ambao wapo kwao wamemiliki mpira kwa 39% dhidi ya mgeni Mamelody ambaye alikuwa na umiliki wa 61%

Hiyo inatoa tafsiri gani kueleke second leg kule kwa Madiba?

Wydad ya last year sio hii tuionayo leo,, tusisahau pia mpira ni dakika 90

Kila la heri Wydad
 
Azam wajifunze kwa wenzao.

Matukio ya uwanjani yanaoneshwa angle zote, ingekuwa ni wao hapa kwenye hii replay ya freekick baada ya kadi nyekundu tungepata single side tu ya mbele lakini camera kutoka upande wa nyuma ya goli ndio imekuja kuonesha vizuri hili tukio namna mpira ulivyo okolewa
 
Wamekutana mara nyingi mwarabu Hana uwezo Kwa mamelod

Basi sawa, angelikua mkali basi angeongoza kuchukua vikombe, badala yake ana kamoja, na mwaka huu habebi

Fuatilia records za al ahly kisha cheki za mamelodi wako utapata jibu, kisha rudi kwa wydad n.k

Kila la heri wydad
 
Back
Top Bottom