FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

Basi sawa, angikua mkali basi angeongoza kuchukua ubingwa

Fuatilia records za al ahly kisha cheki za mamelodi wako utapata jibu, kisha rudi kwa wydad n.k

Kila la heri wydad
Kwa mfano mwaka huu nimeangalia mechi zao zote walipokutana , technically hawapo vizuri
 
Kwa mfano mwaka huu nimeangalia mechi zao zote walipokutana , technically hawapo vizuri

Al ahly kiukweli hakua vizuri na hata bingwa mtetezi pia hivyo hivyo, lakiniii al ahly akishavuka hatua zake hakuna wa kumkamata


Nipo hapa al ahly anachukua hii ndoo, i wish Wamorocco walichukue,,,,
 
Mamelody wakirudi kipindi cha pili mtaona thamani ya mchezaji mmoja ni sawa na wachezaji watatu wa timu pinzani

Yani ili kuendana sawa na timu kama Yanga basi Mamelody inatakiwa wacheze wachezaji 6 tu hapo ni pamoja na kipa.

Hapo ndio utaanza kuiona balance ya game

Sasa ndio kitu ambacho kinakuja kutokea kwenye kipindi cha pili kwenye huu mchezo.

Mamelody akiingiza bunduki mbili tu zile rifle za maana, ubora wao utawafanya Wydad waonekane outnumbered.
 
Timu zimeingia uwanjani na kuna mabadiliko yanafanyika hapa kwa upande wa Wydad

Naam dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza, kumbuka Mamelody wako pungufu baada ya mchezaji mmoja kupewa kadi nyekundu
 
Sven Vanderbrok yuko jukwaani na kidafari chake sijui anakagua madeni
 
Mamelody wakiwa 11 uwanjani kwa timu za hapa Morocco ni kama wapo 13

Unapomtoa 1 kuwafanya wawe 10 inakuwa umefanya ionekane wapo 12
 
53'

Mpira umekiwa na matumizi makubwa ya nguvu kila muda refa anapuliza filimbi za faulo
 
53'
Wydad wanapiga freekick mpira unafanikiwa kuvuka ukuta, mshambuliaji anapiga shuti kali lakini linaenda nje ya lango
 
59'

Kadi ya njano tena imeenda kwa Mamelody kwa kitendo cha kuuacha mpira na kuucheza mpira.

Hii itakuwa ni freekick katika eneo la hatari kwa upande wa Mamelody
 
Back
Top Bottom