FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

81'
Wydad wanafanya sub nyingine

Hii itakuwa sub ya tano sasa
 
86'

Wydad wanakosa bao hapa kwenye set piece baada ya mpira kupigwa kichwa na kwenda nje ya lango
 
Daika ya 87 nao Mamelody wamejibu shambulizi mchezaji namba 38 amepika acrobatic lakini imeenda nje ya lango
 
Kelele za mashabiki zimezima
 
90'

Tunasubiria za mwamuzi
 
leten updates,hivi dstv hawaoneshi hii mechi au ni kufurushi changu
 
Dakika 5 zimeongezwa kuelekea kumalizika kwa game
 
leten updates,hivi dstv hawaoneshi hii mechi au ni kufurushi changu
Game ndio iko mwishoni hivi zinacgezwa dakika za nyongeza

Na mpaka saizi tayari dakika 2 zimeyeyuka
 
Kadi ya njano tena imeenda kwa mchezaji wa Mamelody
 
Mchezaji alianza kuucheza mpira lakini baada ya hapo akamkamnyaga mguu.

Refa katoa kadi nyekundu kwa tukio hilo
 
Two red cards in one match
 
Back
Top Bottom