FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

Wakati huo dakika za nyongeza zimeisha
 
Kadi nyekundu mbili hii itafanya walau kuwe na ratio ya kiupinzani
 
Mpira unachezwa dakika ya 7
 
Refa aliongeza dakika 5 lakini mpaka sasa dakika ya 8 refa hajamaliza mpira
 
Dakika ya 80-90 Wydad ndio walipata nafasi ya kutawala mchezo kwa 52% dhidi ya 48%
 
Tangu Simba wapige mpira mkubwa pale Mohammed V, ulisababisha Wydad wahatibike kisaikolojia.

Saizi game yeyote wanayocheza kwao wamekuwa ni timu ambayo inazidiwa sana kwenye maeneo mengi.

Mamelody anastahili kabisa kuchukua hili kombe, ana kila sababu. Huyo Al Ahly angekuwa kwenye situation ya leo sidhani kama angecheza vizuri kama Mamelody.
 
Back
Top Bottom