FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Sasa hivi wakati napita mbele ya jengo la klabu ya Simba nikasikia bao la sita likitinga, cha ajabu nikaona milango ns madirisha ya klabu ya Simba ikifungwa wote tulipata mshangao nini kimetokea, mwenye kujua naomba atujulishe.
 
Mbona hawa viongozi wanachezea pesa kitoto kama wale jamaa wa arusi walioshtakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…