FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Sasa hivi wakati napita mbele ya jengo la klabu ya Simba nikasikia bao la sita likitinga, cha ajabu nikaona milango ns madirisha ya klabu ya Simba ikifungwa wote tulipata mshangao nini kimetokea, mwenye kujua naomba atujulishe.
 
Mzee chama amepiga "hati triki" ya assist..
Asante sana @Caamil8 kwa kutusajilia "mzee chama". Cc ephen_
20240812_001450.jpg
 
Mbona hawa viongozi wanachezea pesa kitoto kama wale jamaa wa arusi walioshtakiwa
 
Back
Top Bottom