Koloz no koloz tuNakazia, kama haitoshi namkaza na huyo uliyemreply
hili nalo ni shambulizi au kitu gani binti yanguHee imekua kukushambulia tena??? Eeh basi ntaacha kutoa mawazo yako jamani
Nmecheka walah π€£π€£π€£π€£hili nalo ni shambulizi au kitu gani binti yangu
Sana tu maadam...! Anashusha gazeti sijui nani amuelewe. Huyu kasenyentwa naeGazeti lote hili la nini? Kunywa maji ukalale Mkuu.
Mambo yetu tuachie wenyewe.
Unasahau kwamba topolo nae alishawahi kukandwa 5 tena kwa nunge?Itakuwa Makolo nao walikuwa Mizoga, kwasababu wao walikuwa wote 11 uwanjani na wakapigwa 5 hawa wapo 9 uwanjani
MAKOLO ni zaidi ya Maiti aisee