FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Mwanetu una matatizo ya akili 😁😂😁🤣😂😂😁🤣😂😂😁🤣😂😁😁😁😁 embu acha kutukana yaani Yanga SC kupata ushindi roho imekuuma mwanetu hauna akili
 
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.

Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.

Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili
 
Uto....anazidi kuchanja mbuga huko kimataifa.... hongera nyingi kwa 🐸 🐸 🐸
 
Azam Fc ni TAKATAKA kabisa, hiyo nafasi ya Champions League tumeipoteza kipuuzi mno. Daah, team imeshafungwa bado inadefend!!!??? Mpira mbovu, no shot on target! Huyo kocha na benchi lake ni TAKATAKA
 
20240824_210157.jpg

Mwanetu kama unaona waburundi wabovu leta timu yako ipigwe 5
 
Yanga wamuhurumie mama wasije wakamfilisi. Kwa vital'O tu wamekwapua 50m. Wakiendea kwa spidi hii mpaka kufika robo fainali watakamua karibu bilioni moja ya mama.
 
Itakuwa Makolo nao walikuwa Mizoga, kwasababu wao walikuwa wote 11 uwanjani na wakapigwa 5 hawa wapo 9 uwanjani

MAKOLO ni zaidi ya Maiti aisee
Unasahau kwamba topolo nae alishawahi kukandwa 5 tena kwa nunge?
 
Back
Top Bottom