ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila red cardYanga hii unaifungaje
Duh, lawama zimfikie Samia1.Pacome
2. Mzize
3. Chama
Hii inafaa kwa huu uzi hapo kati ukimuweka hata manara anakichafuamods hii iende kw uzi wq Azam
Apia.....😹😹Hakuna kitu rahisi kama kumkaba Aziz K
Hii ikiwa mochwale na yule aliypigwa faivu tuiteje mkuuYanga wanapiga bomu mochwari.
Hayana huruma dadeki zao
Si waliitaka wenyewe. nan alimuomba adakebila red card
Lamba lamba hawanaga muamana😂😂Azam wamekandwa 🤣😁😁
Hakuna team haifungiki mkuu ila kuna ugumu tuUto wanafungika
ShwariIvi vitali O goli lao vipi...
✉️Ivi vitali O goli lao vipi...
Hahaha, Unajua hizi timu zisizokuwa kwenye top 10 ya timu bora Africa huwa zina tumashindano twingi twingii tusivyo na tija. Au ni fainali za Toyota cup hazijaisha?Hata sijui, nasikia wanagombania kufika anapoanzia Simba!
Hivi semaji la vital yupo kweli au kishatangulia Burundi 😂😂Mmeona Goli halali kabisa?
Uto hadi vimechi vidogo vidogo wanahonga
Refa amelikataaaIvi vitali O goli lao vipi...