FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

20240824_211454.jpg
 
Itakuwa Makolo nao walikuwa Mizoga, kwasababu wao walikuwa wote 11 uwanjani na wakapigwa 5 hawa wapo 9 uwanjani

MAKOLO ni zaidi ya Maiti aisee
Kilicho sababisha wapungue hadi 9 nikitugani baelezee kumbe ilitakiwa wasilete timu uwanjani yanga, wasingelipata 30 milioni, swali fikirishi kwa wale wenye akili zilizofungwa nikitugani ulikiona hadi Vital'o' wakawa 9. Why vitali'o from Burundi were down by 9 against Yanga fc , with a detail of, 10 from first half and 9 in the second hal, additional question why Yanga sc maintained 11 players on the ground
 
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.

Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.

Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Hili gazeti mpelekee Fred Michael
 
Mashabiki wa timu za shirikisho mnatafta nini huku
 
Back
Top Bottom