FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

[emoji23][emoji23]ila uyu homeboy alizingua sana
1724525287279.jpeg
 
Hivi makipa wengine wa YANGA watacheza mechi zipi za CAF maana Hadi mechi ya kawaida kama hii ya Leo Diara ndio amepewa jukumu la kulinda lango.
 
Hivi makipa wengine wa YANGA watacheza mechi zipi za CAF maana Hadi mechi ya kawaida kama hii ya Leo Diara ndio amepewa jukumu la kulinda lango.
Siku zote kipa #1 lazima acheze kwenye mechi za ligi ya mabingwa kama ni mzima wa afya njema.
 
Daima Mbele Nyuma Mwiko 💚💛💚

Gari limewakaa! Sasa hivi pale mbele weka Chama, Pacome, Aziz ki, Dube alafu sub ingiza Mzinze 🔥🔥🔥
 
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.

Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.

Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
As vita walipokukanda ta no walitoka nchi ya a man I eee
 
Chama mkali kwa mechi za Timu inayompa nafasi ya mdaa kuamua afanye Nini angalau sekunde 4; mechi ambayo inamotooo kama Ile ya Belozdad au Al Ahal chama ni O. #Yanga Wana kosiii ukweli🔥🔥🔥ndani ntitii njee ntitiii....Haalaaaaah.
Daima Mbele Nyuma Mwiko 💚💛💚

Gari limewakaa! Sasa hivi pale mbele weka Chama, Pacome, Aziz ki, Dube alafu sub ingiza Mzinze 🔥🔥🔥
 
Makundii kutawaka motoo kwa mkapaaa,Maana pyramid Raja Orlando naooo wanapeleka motoooo hatariii Badoo wale miiamba inayosubili makundii kama Esperenx
 
Back
Top Bottom