FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Chama mkali kwa mechi za Timu inayompa nafasi ya mdaa kuamua afanye Nini angalau sekunde 4; mechi ambayo inamotooo kama Ile ya Belozdad au Al Ahal chama ni O. #Yanga Wana kosiii ukweli🔥🔥🔥ndani ntitii njee ntitiii....Haalaaaaah.
Na mechi ngumu hatoanza ataanzia benchi
Zile mechi zenyewe aah lazima Gamond awapange wakina Pacome
Chama atake asitake hizo atatokea benchi
 
Maisha ya soka ndivyo yalivyo unadhani kipindi aly Ahly /kaizer chiefs /wydad na timu zingine wanatufunga zile 5 5 hapa walikuaga wanatuchukuliaje?? Walikua wanajua wanakuja kutukanyaga waendelee na safari zao hatukua kitu kabisa! Ila tazama sasa sisi ndo tunawakanyaga watu watu wakija kwa mkapa huwa wanaogopa wanajua challenge accepted....
Ndo raha ya kukua mkuu enjoy
Umemaliza.
 
[emoji2955]Nani anaefata?
20240809_155223.jpeg
 
Kwa kweli yule jamaa aliokoa goli kwa kuruka...awe kipa tu si kwa super save ile....hakua na namna maskini...!
 
Back
Top Bottom