Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Mbona azam anaidhamini APR na anaimiliki azam fc bado mpira ulichezeka na mtu akapigwa akatoka. Tafuteni elimu kwanza mtoke kwenye vijiwe vya kahawa.Kawaida ,ila mpira wa kibongo una porojo nyingi uliona wap mdhamini mmoja anadhamini timu nane ndani ya ligi moja?upangaji matokeo ni mkubwa.