kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
CAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023
Time 1900Hrs EST
Second preliminary round · Leg 2 of 2
Aggregate: 2 - 0
Ni mchezo wa Round ya Pili kuwania nafasi ya kuingia Makundi kutafuta Club bingwa Afrika
Yanga wataingia Uwanjani wakiwa na goli mbili za ugenini.
Mpira utaanza Saa Moja Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Kikosi cha Yanga Kinachoanza.
Ushindi wa goli 1-0 dhidi Al Merrikh ya Sudan kwenye Uwanja wa Azam Complex umeifanya Yanga kuingia Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya magoli 3-0 baada ya mchezo wa awali kushinda magoli 2-0.
Yanga imefanikiwa kuingia hatua hiyo baada ya kupita miaka 25, mara ya mwisho ikiwa ni Mwaka 1998