DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
Yani we jamaa nakuonaga unaakili kumbe nawe ni mbumbumbu kama wenzio sasa mambo ya simba yanaingia vp kwenye uzi wa mechi ya YANGA1. Simba Ameisha toka huko kwa WATOTO
2. Simba anawaza Mashindano makubwa kama super Cup
3. Simba amelamba BILIONI 5 super cup. (Super league)
4. Uwanja WA Mkapa unakarabatiwa kwaajili ya super League.
5. Africa inajiandaa kupokea ugeni MZITO kutoka Duniani.
RAIS WA Fifa na Mashirikisho yake.
KILA LAKHERI MNYAMA MKALI.