Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna lengo la kuwanunulia jamaa zako bia. Yan kiufupi unawazuga jamaa zako tuMkipigwa leo nanunua bia kwa ndugu zangu wote nitakaokuwa nao
Mkuu unazingua mbona Uzi hauna nyama umefungua kama unakimbizwaCAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023
Time 1900Hrs EST
View attachment 2766911
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo Ndugu yangu, nimekuwa mpenzi wa soka sasa...[emoji23][emoji23][emoji23]Sijakuona muda sana ndugu yangu kiwatengu ,but naamini upo mzia kabisa... Beer zitanywewa sana leo ngoja wapigwe hao Uto, nitawafariji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]1. Simba Ameisha toka huko kwa WATOTO
2. Simba anawaza Mashindano makubwa kama super Cup
3. Simba amelamba BILIONI 5 super cup. (Super league)
4. Uwanja WA Mkapa unakarabatiwa kwaajili ya super League.
5. Africa inajiandaa kupokea ugeni MZITO kutoka Duniani.
RAIS WA Fifa na Mashirikisho yake.
KILA LAKHERI MNYAMA MKALI.