FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

[emoji23][emoji23][emoji23]Sijakuona muda sana ndugu yangu kiwatengu ,but naamini upo mzia kabisa... Beer zitanywewa sana leo ngoja wapigwe hao Uto, nitawafariji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo Ndugu yangu, nimekuwa mpenzi wa soka sasa...
anyway Hiyo ya Uto kupigwa naiona sio rahisi hata kidogo.

Pale Chamazi wanabahati napo sana.
 
1. Simba Ameisha toka huko kwa WATOTO

2. Simba anawaza Mashindano makubwa kama super Cup

3. Simba amelamba BILIONI 5 super cup. (Super league)

4. Uwanja WA Mkapa unakarabatiwa kwaajili ya super League.

5. Africa inajiandaa kupokea ugeni MZITO kutoka Duniani.
RAIS WA Fifa na Mashirikisho yake.

KILA LAKHERI MNYAMA MKALI.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ