FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Yani we jamaa nakuonaga unaakili kumbe nawe ni mbumbumbu kama wenzio sasa mambo ya simba yanaingia vp kwenye uzi wa mechi ya YANGA
 
Sikujua kama Simba imejitoa kwenye haya mashindano ila leo kijana wa Rage fc ndio kanijuza kuwa Simba kwenye michuano ya watoto kaishatoka. Eeeh Mungu fanya kama alivyosema huyu kijana wa Rage fc kwa vitendo yaani iwe kweli wamejitoa haswa hiyo kesho wasubirie super league yao.

Halafu kijana wa Rage fc haitwi super cup mashindano yenu ya wageni waalikwa, bali yanaitwa African football league ambapo awali yaliitwa African super league.

N.B
Kesho mtolewe ili muwe mmeshatoka huku kwa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…