FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Wana uchiiiiiiiiiiiiiiii......
Kwa mavazi ya jana inabidi iitwe hivyo...
 
Sawa lakini Mzize aondoke usajili wa dirisha dogo, yeye na Musonda.
Kwanini hua humpendi Mzize wakati ni bonge la striker... Game ya Kwanza kafunga tena Goli zuri Sana na Leo pia kafunga.... Nachokubalina na wewe Musonda asepe Ila Mzize NI mtu na nusu kupata mzawa mwingine kama Mzize ni ngumu Sana... Wamepita wengi walikua vituko
 
Back
Top Bottom