Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Unyama tena? Mbona kama vile unacopy kwa watani?Unyama Sana .....Yanga ya msimu huu imejipanga hongera kubwaa KWA mashabiki na timu yote kiujumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyama tena? Mbona kama vile unacopy kwa watani?Unyama Sana .....Yanga ya msimu huu imejipanga hongera kubwaa KWA mashabiki na timu yote kiujumla
Mpende msipende neno "unyama" mtalitaja tu.Unyama tena? Mbona kama vile unacopy kwa watani?
Kesho nayo sikuMsimu huy mlivyo pooza ,lolote linaweza kutokea kwani uwezo wa kupata goli kwa ile defense yenu wanao.
Unyama hapa namaanisha jambo kubwaUnyama tena? Mbona kama vile unacopy kwa watani?
Kesho ni mnyamaaaSio In shaa Allah, tuseme Alhamdulillah Yanga imeshaingia makundi
Nini kuwaita wenzio manduli?Wapigwe manduli Al Mereikh
Makundi kutakuwa na mateso sanaYani ndo kwa mbinde hiviii...na hicho kikaptula day ndo kimeishia hivi?
Itakua balaaaMakundi kutakuwa na mateso sana
😂😂😂Kuna kolo mmoja kakomaa anadai hii timu nchi yao iko vitani hawajiwezi nimemuuliza kuna mchezaji wao hata mmoja umemuona ana tundu la risasi kabaki anauma mdomo
Mnasemaje We kundu wa msimbazi?Wana uchiiiiiiiiiiiiiiii......
Kwa mavazi ya jana inabidi iitwe hivyo...
Kwanini hua humpendi Mzize wakati ni bonge la striker... Game ya Kwanza kafunga tena Goli zuri Sana na Leo pia kafunga.... Nachokubalina na wewe Musonda asepe Ila Mzize NI mtu na nusu kupata mzawa mwingine kama Mzize ni ngumu Sana... Wamepita wengi walikua vitukoSawa lakini Mzize aondoke usajili wa dirisha dogo, yeye na Musonda.
Msalimie mhasibu Mzee wa takwimu .Kwa mpira huo yanga ataishia Makundi.
Nimesema Mimi CAPO DELGADO.
HUWA SITANII.
Ya kufungwaKesho ndio kuna mpira burudani na magoli ya kutosha…
Dah we dada inaonekana una komwe maana sio kwa kupenda shari kiasi hikiYani ndo kwa mbinde hiviii...na hicho kikaptula day ndo kimeishia hivi?
Cc. lugano27Yule bosi wa DP World ni kapuku tu hana hata guta hawezi kuwa mshirika wangu kamwe.
Laki tano ni pesa ndogo tu na ni kiingilio kwa show ya taarabu kwa masaa mawili tu.