princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Yanga nayo saa ingine kama taifa starsTatizo ni nyie wenyewe washabiki wa Yanga mumeioverate sana Yanga sasa inapokuja kwe uhalisia ndiyo mnasema mumehujumiwa.
Amtoe aingize belekeAmefokaa yani kachefukwa dube alipomiss goli la wazi kabisa
Nani huyo?Vip striker wenu anascore moja kwamech ngapi
Unazungumzia miaka ya shetani? Eti koloTano moja tu kulele mtaa mzima.,sisi wa 6 4 na 5 wala haturingi😅
Haha Team yako ushaisahauNani huyo?
Timu ya vipofu imemfukuzisha Benchikha na Robertinho vibarua vyao, na wakaitwa wazee tukaambiwa watapimwa umri August 8 lakini baada ya mechi hatukupewa tathimini kuhusu vipimo vya umri wao vilisomaje badala yake tukasikia timu ya vipofu ndio bingwa wa ngao ya jamii. Sasa kama vipofu na wazee ndio wanacheza hivi, je wangekuwa ni vijana na wanaona vizuri je hali ingekuwaje?Nafasi 4,Dube ana score 1 ,Timu ya vipofu
Ana UTI ya ubongodube shida ni nini
Wapo vizuri.....Kwel hako katimu hata hakajulikani
Timu zinacheza kujenga historiaUnazungumzia miaka ya shetani? Eti kolo
Hela waliowekeza kwenye Azam FC bora wanunue camera boraHivi ndio vifaa vyao vipya
Zanzibar sio DarIlibidi saizi ziwe 3 hivi
Wakija wakina chama na mzize wamalizie 2
Tufunge hesabu.. wakija dar wachezee hata 2 yaishe
October sio mbali, utaiona Yanga overrated.Tatizo ni nyie wenyewe washabiki wa Yanga mumeioverate sana Yanga sasa inapokuja kwenye uhalisia ndiyo mnasema mumehujumiwa.
Wakawaida tu ,sema uto ndio inakwenda kufikia kilele cha ubora wake😅Wapo vizuri.....
Au usikute mke kamtibua, make wake zetu nao sommetimes shida sana,....dube shida ni nini