FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

Yanga imefunga goli 6 ila Dube kwa huruma kawafutia goli 5 limebaki goli 1.

Ni HT.
 
Nafasi 4,Dube ana score 1 ,Timu ya vipofu
Timu ya vipofu imemfukuzisha Benchikha na Robertinho vibarua vyao, na wakaitwa wazee tukaambiwa watapimwa umri August 8 lakini baada ya mechi hatukupewa tathimini kuhusu vipimo vya umri wao vilisomaje badala yake tukasikia timu ya vipofu ndio bingwa wa ngao ya jamii. Sasa kama vipofu na wazee ndio wanacheza hivi, je wangekuwa ni vijana na wanaona vizuri je hali ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom