princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Yanga nayo saa ingine kama taifa starsTatizo ni nyie wenyewe washabiki wa Yanga mumeioverate sana Yanga sasa inapokuja kwe uhalisia ndiyo mnasema mumehujumiwa.
Mpaka muwakatie tamaa ndo washinde ! Yani mpk mny'ong'onyee msimangwe