Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ishu siyo kulaumu! Shida ni kukosa kwao utulivu na umakini kwenye safu ya ushambuliaji. Kama Yanga inataka kweli kuwa katika level za akina Al Ahly, basi wachezaji wanatakiwa kuondokana na huu udhaifu! Na hivyo kutumia ipasavyo nafasi za kufunga.Mkuu tusiwe watu wa kulaumu sio siku zote timu itashinda magoli mengi, wale ni binadamu sio maroboti ama malaika kwamba hawawezi kukosea. Kushinda away sio jambo rahisi hivyo kwa mpira wa Africa. Tusifunze kupunguza high expectations kama ushindi tu wa goli moja watu mnataka kuandamana kuwazonga wachezaji je siku ikitokea Yanga imefungwa sio mtachoma jengo la klabu? Mechi ya kwanza imeshinda favour imeenda kwa Yanga japokuwa yupo ugenini ni wakati wa timu kujipanga kwa marudiano na hii ni hatua ya mtoano hivyo ni timu kujipanga kwa dakika 90 zingine za kufanya ifuzu haijalishi kwa magoli machache ama lah
Haiwezekani zaidi ya nafasi 5-6 za wazi, timu inaambulia goli moja pekee. Mbele ya safari timu ikipoteza nafasi adimu kama hizi za kwenye mechi ya leo, itakosa nafasi ya kusonga mbele.