Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha nje ya uwanja kama yapi mkuuHalafu kwa Sasa viongozi wasishughulike sana na wachezaji
Maana maisha nje ya uwanja inaonekana yamekuwa makubwa sana kuliko maisha ndani uwanja
Kumbe na wewe wifi upo utopolo, ila hili jina huwa silipendi ni nani alilianzisha jamani wananchi kuitwa Uto inaboa😄😄Mi uto 😂😂
Kumbe wifi financial services naye mwananchi awwww 😜
Kama hawa walivyoomba kupewa mirenda na wakapewa kisha wakaruka kwa furahabraza nipangie mirenda
Hakuna timu duniani inayoshinda magoli mengi kila mchezo bali kuna mchezo utatoa sare, kuna mchezo utashinda kwa mbinde kagoli kamoja na mchezo utashinda magoli mengi hiyo itategemeana na wachezaji wapo timamu kimwili na kiakili kwa kiasi gani na mpinzani atafanya makosa kwa kiasi gani. Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kwenda kucheza mechi za AFCON na hao wachezaji hawakupata muda wa mapumziko wala kuungana na program ya mwalimu zaidi ya kusafiri kukutana wenzao kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo. Na la mwisho ni kwamba Yanga imeshinda na imeshinda ugenini huku baadhi ya mashabiki wa Simba wakitarajia Yanga ifungwe. Macho na masiko kwasasa tunayapeleka kule LibyaNa tumeona Mchezo mzima niseme tu Timu ipo ila naona sasa Wachezaji wenu wameanza Kulewa Sifa na Kujisahau.
Bakia na hiyohiyo ilibaki kidogo wakati mechi imeshaisha na Yanga imeshindaWahabesh wana pumzi za kutosha, ilibaki kidogo vyura wapelekewe moto
Ropokeni tu kesho si mbaliWahabesh wana pumzi za kutosha, ilibaki kidogo vyura wapelekewe moto
Wakati ningali kijana nikiwa mwanafunzi wa masters niliwahi kuwa na uhusiano na msichana mmoja wa kihabeshi kutoka Ethiopia ambaye alikuwa anasoma masters ya nutrition wakati huo. Alikuwa mzuri sana ila binti yule tulishindana kwa vile alikuwa na mapafu ya duma, yaani alikuwa hachoki!Wahabesh wana pumzi za kutosha, ilibaki kidogo vyura wapelekewe moto
Wachezaji wa Yanga wanafanya high pressing kwa vipindi, kuna muda wamewafanyia pressing na hivyo vipasi vyao wakachoma zaidi ya mara tatu ila umakini tu wa umaliziaji ukawa mdogo. Ila jana kungekuwa na umakini walikuwa wanaokota mengi tu nyavuni, sijui imekuaje wachezaji wa Yanga wakawa wanashindwa kulenga goliIla damu ya kihabesh, sijuo Somalia sijui ,Eritrea damu haina woga na ina ujasiri mpaka wewe wa pembeni unaogopa yale majamaa ya jana ya CBE yalikua yanapeana pasi hapo hapo golini kwao na anayepewa pasi kazungukwa na Yanga wanne au watatu nae bila kupoteza anawatoka anampa pasi wa pembeni yake ,kwa kifupi sijaona butua butua mpaka inatisha
Hapo tu ndio msingi wa maneno yako yoteumaliziaji ukawa mdogo. Ila jana kungekuwa na umakini.
Mchezo wa marudio ukipelekwa huko Zanzibar, na ikatokea timu ikatolewa; basi viongozi wa timu watabeba lawama zote.Kitu nachukia ni mechi kupelekwa Zanzibar ule uwanja hauna tofauti na abebe Bikila mdogo na kapeti yake umechoka na Leo imechezwa final pale sijui ya kombe gani ila imejaza sio poa lazima pichi itakuwa haiko poa
Game ipigwe dar Mkapa wale cbe watakaa vizuri
Mchezo wa marudio ukipelekwa huko Zanzibar, na ikatokea timu ikatolewa; basi viongozi wa timu watabeba lawama zote.
Maana sababu zao za kuupeleka huo mchezo Zanzibar zimekaa kisiasa! Na pia zina viashiria vya kujikomba komba na kujipendekeza kwa Bibi Kizimkazi, huku wakitumia visingizio dhaifu ili tu kuhalalisha huo upuuzi wao.
Na hadi Sasa team Ina struggle kwa ajili ya viongozi wapenda sifa wasiokubali ushauriMchezo wa marudio ukipelekwa huko Zanzibar, na ikatokea timu ikatolewa; basi viongozi wa timu watabeba lawama zote.
Maana sababu zao za kuupeleka huo mchezo Zanzibar zimekaa kisiasa! Na pia zina viashiria vya kujikomba komba na kujipendekeza kwa Bibi Kizimkazi, huku wakitumia visingizio dhaifu ili tu kuhalalisha huo upuuzi wao.