FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

Sijui kwanini ila nina wasiwasi kwamba hii mechi itakuwa ngumu. Hata kama tukishinda haitakuwa rahisi, hatuwezi kupata yale mafuriko yetu ya kono la nyani.

Mungu atuongoze, Yanga Daima.
 
Hukawii wewe kuchafua hali ya hewa. Sisi 3 wao plus madunduka waondoke na karai.
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
mi mpole nimefunzwa adabu nimekuwa mume bora sana ..😁
 
Back
Top Bottom