FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

hivi Ethiopia tunatofautinao masaa mangapi..? maana kitu saa tisa sio mcnezo hapo hata ukiwa bar bia inapanda nakushuka...😂
 
Kalpana karibu uone mpira,uione nuru ya mpira burudani yenye tashtwitwi kutokea young African timu bora yenye kila aina ya raha,burudani na ufundi..🥰
 
Kila la kheri chama langu Young africans sc 💚💛💚


#DaimaMbele #NyumaMwiko 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
GUhxtgTXkAAB_gB.jpeg
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #CAFCL
⚽️ Cbe SA 🆚 Yanga SC
📆 14.09.2024
🏟 Abebe Bikila Stadium
🕖 15:00 Alasiri
View attachment 3095275
Lolote baya liwakute CBE kila la kheli young African japo Mimi ni Simba Ila for the sake of the national at large peperusheni vyema bendera ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom