Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 1,770
- 3,552
Nilijua kwang tuHawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua kwang tuHawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Ila hebu wacheze kwa spirit hatujawazoea hivi aisee! Ni kama kuna watu wameshajihakikishia namba wana relaxLeo ni pwagu na paguzi..lakin tutashinda hivyo hvyo
Wanacheza kama CoastalWamefungwa mawe🤣
Naunga mkono hoja😊
Uwanja mbovu huuNi wachawi, nyie mkasome......haiwezekani goli halionekani kwa kiasi hiki
Wanajiona Al Ahly 😅Wanacheza kama Coastal
Labda wabadilike kipindi cha pili
Yo players wanayo, hebu hukoooSio swala la Uchawi, Its all about Skills, Talent which yo players missed
Yanga iwe timu ya taifa mkuu, ubingwa wa africa yanga wanabeba.Daaah mechi mbovu sana hii.......what a waste of time [emoji3063][emoji3063]
Au ndo yale mambo ya kuwaka msimu mmoja😅Azizi ki amepatwa na nn huyu jamaa
Poor kabisa
Sahihi hapa tunafanya zoez tu hata moja linatoshaYanga iwe timu ya taifa mkuu, ubingwa wa africa yanga wanabeba.
Kabisa.Sahihi hapa tunafanya zoez tu hata moja linatosha
Dube amelogwa?Yo players wanayo, hebu hukooo