FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

Utopolo wanachekesha kweli! Hiyo ndiyo timu ya kuchukua ubingwa caf!
Hapana timu ya kuchukua ubingwa CAF unayo wewe, kwani msimu uliopita kuna shabiki wa Simba aliyetegemea Yanga ingeweza kufuzu robo fainali mbele ya timu mbili bora ya Al Ahly na Belouizdad? Tusubiri muda utoe majibu sahihi. Mpaka sasa Yanga tokea ianze msimu hakupoteza mechi yoyote, na kama swala la kukosa magoli hata huyo Al Ahly hukosa magoli mengi tu. Hakuna timu isiyokosa magoli duniani ni kawaida kwa mchezo wa mpira wa miguu
 
Back
Top Bottom