Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 1,770
- 3,552
Kagoma alishagoma kukaa kiumeniToa aucho, weka kagoma hapo kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagoma alishagoma kukaa kiumeniToa aucho, weka kagoma hapo kati
Kilele itapatia kwenu huko, sio yanga....sio yanga nakwambiaaaWakawaida tu ,sema uto ndio inakwenda kufikia kilele cha ubora wake😅
Shemela, umeoa?Au usikute mke kamtibua, make wake zetu nao sommetimes shida sana,....
Mwaka wa nne huuShemela, umeoa?
Watakaa zaid hiki chapiliNi Pacome tu ndie namwona yupo serious,wenginee wamepiaa sana nahisi wameizarau timuuu.
😁😁 hakuna timu duniani haifikii hicho kipindi .Kilele itapatia kwenu huko, sio yanga....sio yanga nakwambiaaa
Duh Nikajua upo upande wapil kumbe nawe kidumeAu usikute mke kamtibua, make wake zetu nao sommetimes shida sana,....
Tangu mechi na kageradube shida ni nini
Hapana timu ya kuchukua ubingwa CAF unayo wewe, kwani msimu uliopita kuna shabiki wa Simba aliyetegemea Yanga ingeweza kufuzu robo fainali mbele ya timu mbili bora ya Al Ahly na Belouizdad? Tusubiri muda utoe majibu sahihi. Mpaka sasa Yanga tokea ianze msimu hakupoteza mechi yoyote, na kama swala la kukosa magoli hata huyo Al Ahly hukosa magoli mengi tu. Hakuna timu isiyokosa magoli duniani ni kawaida kwa mchezo wa mpira wa miguuUtopolo wanachekesha kweli! Hiyo ndiyo timu ya kuchukua ubingwa caf!
Wanateseka kuifunga timu ya kijiji😆😆😆😆 halafu ndio mabingwa wa tarajiwa wa africa 🤣Kwa nini utopolo wamenuna wakati wanaongoza kwa goli 1? Nijuzeni tafadhali!
Kwa nini utopolo wamenuna wakati wanaongoza kwa goli 1? Nijuzeni tafadhali!
Wananchiiiiiii 💛💚💛💚💚💛
The winners
Wananchiiii
Ikawe kheri kwetu na balaa kwao.
Los amo jóvenes africanos 💚💛
Wamezoea kufunga goli 5.Kwa nini utopolo wamenuna wakati wanaongoza kwa goli 1? Nijuzeni tafadhali!
Wana uhakika wa nambaNi Pacome tu ndie namwona yupo serious,wenginee wamepiaa sana nahisi wameizarau timuuu.
Hatujazoea goli mojaKwa nini utopolo wamenuna wakati wanaongoza kwa goli 1? Nijuzeni tafadhali!