kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Kwa ushahidi huu, Yanga inaweza kufungiwa na FIFA...heri wangeuficha huo mkataba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Your wishes!Kwa ushahidi huu, Yanga inaweza kufungiwa na FIFA...heri wangeuficha huo mkataba
Kuna masharti ya kutimiza humo kwenye mkataba. ukiyavunja mkataba unavunjika, Kwa mfano ukimwajiri mtu kwa mashahara wa m5 kwa mwezi na ukapita mwezi bila kumpa hiyo pesa, mkataba unakuwa umeuvunja!! Jiulize je yanga walitimiza yote? Je walimsajili msimu huu!!
😂😂😂 Si ungekuja nawe broYeah!! kuna siku alikomaa na mimi nije huko.
Nikaona haifai aisee.
Tumekutana ukubwani kila mtu afe na timu yake
Yanga na CBE ni tako na chupi .Wametoa smg wameingiza goboleTimu ya vipofu imemfukuzisha Benchikha na Robertinho vibarua vyao, na wakaitwa wazee tukaambiwa watapimwa umri August 8 lakini baada ya mechi hatukupewa tathimini kuhusu vipimo vya umri wao vilisomaje badala yake tukasikia timu ya vipofu ndio bingwa wa ngao ya jamii. Sasa kama vipofu na wazee ndio wanacheza hivi, je wangekuwa ni vijana na wanaona vizuri je hali ingekuwaje?
Timu gani?Haha Team yako ushaisahau
Yanga kacheza na Simba na Azam msimu kama hawa wote umewaona ni underdog je unataka icheze na ipi?Naona ligi Bado haijaanza hii yanga Bado anakutana na underdog hatuoni mpira wa ushindani hii timu ni kama pamba Jiji tu.
AlaaHata kipofu anafunga hii kweli utopolo aise
ILi akakimbie filimbi ipigweBeleke anaingia sekunde za mwisho
Naiombea ikashinde 3 - 0 tujifunze kituSubirini pira la kesho huko Libya!!
SITAKI😂😂😂 Si ungekuja nawe bro
Njoo wananchi ufurahie mpira mzuri