FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

FB_IMG_17263051148717944.jpg
 
Timu ya vipofu imemfukuzisha Benchikha na Robertinho vibarua vyao, na wakaitwa wazee tukaambiwa watapimwa umri August 8 lakini baada ya mechi hatukupewa tathimini kuhusu vipimo vya umri wao vilisomaje badala yake tukasikia timu ya vipofu ndio bingwa wa ngao ya jamii. Sasa kama vipofu na wazee ndio wanacheza hivi, je wangekuwa ni vijana na wanaona vizuri je hali ingekuwaje?
Yanga na CBE ni tako na chupi .Wametoa smg wameingiza gobole
 
CBE : College of Bussiness Education ya bongo wana tawi lao huko Ethiopia!! tawi la cbe linawatoa jasho uto!!
 
Goooooooooooal Chamaaaaaa.
Chumaaaaaaaaaa ....
aaah amekosa bana 😜😜
 
Back
Top Bottom