Hii mechi nilijua inachezwa saa 1 etiScars Kalpana Greatest Of All Time njooni msaidie kuuvuta vuta uzi wetu. Kambi ya Fisi pekee hataweza ingawa anajitahidi.
hata maisha ya wasio wana yanga ni magumu mnooo kila siku hawana furahaMsisahau wa Djibouti Huwa wakijaga bongo baada ya mechi wanazamia mazima hawarudi kwao maana kule maisha magumu mno
Yanga 5-1 Asas DjiboutiHii mechi nilijua inachezwa saa 1 eti
Nilikua nasubiri post yako mkuu.Hii Yanga ilitakiwa icheze kwenye Ligi ya Laliga huko. Siyo kwa mpira huu!!!
Nilitingwa muda mwingi kuangalia mpira wa kwenye kitabu uliopigwa jioni hii. Hakika nimefurahi sana. Sasa tunajiandaa dhidi ya hao Al Merreikh wao.Nilikua nasubiri post yako mkuu.
Kama lingekua la movement ningeungana nawewe japo ni fear ila huez kulizungumzia kama kigezo Cha ubovu maneki.Kuruhusu goli dhidi ya hawa magoigoi ni zaidi ya uwendawazimu.
Sio wabovu
Bomu limetupwa mochwari..huu ni uchawi
wanasema timu haina fowadi ila inashinda kwa jumla ya goli 7 kwa 1
Asas na Zalan wana utofauti gani?Yanga 5-1 Asas Djibouti
FT
Aggregate ni
Yanga 7-1 Asas Djibouti
Ni mwendo wa Magoli tu
Hamna cha kuwafanya.Ok kwaiyo tuwafanye tunachotaka kuwafanya si ndio [emoji28]
wazee wa kupiga maburuneti mochwariWalai mna ngekewa ya vibonde....
El Mereikh haina ubora?Asas na Zalan wana utofauti gani?
Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani
Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency
Tayari mkuuuMwambie pale juu aandike
Yanga 5-1 Asas Djibouti