Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tunawapiga nje ndani.Sishauri chochote, nilikuwa najibu swali kuhusu timu za Wasudan msimu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawapiga nje ndani.Sishauri chochote, nilikuwa najibu swali kuhusu timu za Wasudan msimu huu
Azzam wametolewa kombe la loser first round, Simba pamoja na kuwasha moto wa kishirikina lakini waliumaliza mwendo robo fainali na Yanga tukatinga fainali.Asas na Zalan wana utofauti gani?
Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani
Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency
Mashabiki wa simba ni wasahaulifu sana. Na ndiyo maana Mwenyekiti wao wa zamani Ismail Asen Rage aliwaita mbumbumbu.Ni nchi ile ambayo Simba ilipigwa moja bila kwa Mkapa.
Tate Mkuu leteni matokeo ya Simba na ile timu ya Djibouti maana kuna makolo vijambio vinawasha.
El Mereikh haina ubora?
Mbona mmeanza visingizio mapema
Hawana consistency nzuriOhoooooo mmeanza mapema mbona si tulikubaliana ad tukiwasha wafunga ndio muanze visingizio
Klabu ubingwa???Azzam wametolewa kombe la loser first round, Simba pamoja na kuwasha moto wa kishirikina lakini waliumaliza mwendo robo fainali na Yanga tukatinga fainali.
Klabu ubingwa malengo ya kwanza ya Yanga ni kuingia makundi halafu ndio utasikia malengo yetu tukiingia makundi.
Huyo ndo kabisaaaa....😛😛Tuambie mapema Al Merrikh Naye Ni kobonde au ni Korongo [emoji16][emoji2957]
Haya bana ila mna ngekewa aisee....Maumivu yakizid muone dactar mtani [emoji28]
Usishupaze shingo mkuu😃Asas na Zalan wana utofauti gani?
Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani
Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency
Sasa ni nani mwenyewe anaweza ku risk hela yake kuibetia timu mbovu dhidi ya angalau?Usishupaze shingo mkuu😃
Wenzako wanatajirika kwa kuibetia Yanga😅😅😅. Undugu ni kupeana mitonyo, usijesema sikukuambia
JeWamoto sana.
Nchi ina vita, inasemekana hawana ligi ila Hilo si tatizo sababu ubora wa timu utathibitishwa kwenye makundi na kuendelea.El Mereikh haina ubora?
Mbona mmeanza visingizio mapema
Kipimo cha ubora wa Yanga ni kwenye makundi na kuendelea.tumsubir al mereik utakuja na ngonjera gani
Mashabiki wa simba ni wasahaulifu sana. Na ndiyo maana Mwenyekiti wao wa zamani Ismail Asen Rage aliwaita mbumbumbu.
Haya bana ila mna ngekewa aisee....
Sasa kwa taarifa yako ukisikia tu Yanga ameingia hatua ya makundi, basi utambue fika anaenda kuvunja rekodi nyingine msimu huu.Nchi ina vita, inasemekana hawana ligi ila Hilo si tatizo sababu ubora wa timu utathibitishwa kwenye makundi na kuendelea.
Hilo si tatizo. Kwani mm nimesema anaenda kufeli? Mm nimesema kipimo sahihi ni hatua ya makundi na kuendelea.Sasa kwa taarifa yako ukisikia tu Yanga ameingia hatua ya makundi, basi utambue fika anaenda kuvunja rekodi nyingine msimu huu.