Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ina ubora kama wa KMCEl Mereikh haina ubora?
Mbona mmeanza visingizio mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina ubora kama wa KMCEl Mereikh haina ubora?
Mbona mmeanza visingizio mapema
Omba makundi tupangwe na Al AhylAsas na Zalan wana utofauti gani?
Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani
Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency
tumsubir al mereik utakuja na ngonjera ganiBomu limetupwa mochwari..
Hakika ogopa timu ambayo kila Mchezaji anafunga ni hatari sana hiiNilitingwa muda mwingi kuangalia mpira wa kwenye kitabu uliopigwa jioni hii. Hakika nimefurahi sana. Sasa tunajiandaa dhidi ya hao Al Merreikh wao.
Na wenyewe kichapo kiko pale pale.
Tuambie mapema Al Merrikh Naye Ni kobonde au ni Korongo [emoji16][emoji2957]Walai mna ngekewa ya vibonde....
Aahaaaaaaaaa,huu ni uchawi
wanasema timu haina fowadi ila inashinda kwa jumla ya goli 7 kwa 1
Asas na Zalan wana utofauti gani?
Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani
Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency
Walai mna ngekewa ya vibonde....
Haina, hata El Hilal ya sasa. Kumbuka kwao shughuli zimesimama, hata ligi imesimamishwa shauri ya vita, na dada zao wapo hapo Muhimbili wanamalizia masomo 😁El Mereikh haina ubora?
Mbona mmeanza visingizio mapema
Uzuri Yanga haiangalii kama wapo ugenini wala wanacheza na timu ganiOmba makundi tupangwe na Al Ahyl
AahaaaaaaUzuri Yanga haiangalii kama wapo ugenini wala wanacheza na timu gani
HahahahaHaya, Azam njoeni mumsajili Max, maana mna tamaa sana..... Mitoto ya tajiri
Sawa,kwahiyo ulikuwa unashaurije!?Haina, hata El Hilal ya sasa. Kumbuka kwao shughuli zimesimama, hata ligi imesimamishwa shauri ya vita, na dada zao wapo hapo Muhimbili wanamalizia masomo 😁
Mmetupa bomu mochwari halafu mnajidai kuuaHakika ogopa timu ambayo kila Mchezaji anafunga ni hatari sana hii
Maxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx nya nokooooooooooo
Sishauri chochote, nilikuwa najibu swali kuhusu timu za Wasudan msimu huuSawa,kwahiyo ulikuwa unashaurije!?
Ni nchi ile ambayo Simba ilipigwa moja bila kwa Mkapa.Hii ni timu ya nchi gani, Sudan Kusini?