FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

yanga imeanza wachanga CAF, wanafikiria kurudisha anae tolewa 2nd round ashuke shirikisho maana mpango wa yanga kushindwa kufuzu unaonekana kuingia mchanga
 
Asas na Zalan wana utofauti gani?

Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani

Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency

Ohoooooo mmeanza mapema mbona si tulikubaliana ad tukiwasha wafunga ndio muanze visingizio
 
Back
Top Bottom