FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

Asas na Zalan wana utofauti gani?

Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani

Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency
Azzam wametolewa kombe la loser first round, Simba pamoja na kuwasha moto wa kishirikina lakini waliumaliza mwendo robo fainali na Yanga tukatinga fainali.

Klabu ubingwa malengo ya kwanza ya Yanga ni kuingia makundi halafu ndio utasikia malengo yetu tukiingia makundi.
 
Klabu ubingwa???

Kwani mwaka jana hamkuwa na malengo kama hayo klabu bingwa?
 
Asas na Zalan wana utofauti gani?

Nyie mna mazari tu, mnakutana na vibonde afu mechi zote mnachezea nyumbani

Mkitoka hapa nadhani mnakutana na El Merrick ambayo nayo haina consinstency
Usishupaze shingo mkuu😃
Wenzako wanatajirika kwa kuibetia Yanga😅😅😅. Undugu ni kupeana mitonyo, usijesema sikukuambia
 
Usishupaze shingo mkuu😃
Wenzako wanatajirika kwa kuibetia Yanga😅😅😅. Undugu ni kupeana mitonyo, usijesema sikukuambia
Sasa ni nani mwenyewe anaweza ku risk hela yake kuibetia timu mbovu dhidi ya angalau?

Timu ya angalau lazima waibetie kwasababu inakupa asilimia fulani za kushinda
 
Mashabiki wa simba ni wasahaulifu sana. Na ndiyo maana Mwenyekiti wao wa zamani Ismail Asen Rage aliwaita mbumbumbu.

Mkuu usiwaite ilo jina wanasema hawapendi

Wanasema sisi ni watani tu asa mbona tunawatania utani wa kwel (kama mnacheza ngumi mwenzio kakupiga ngumi ya uongo alafu wewe umpige ngumi ya ukwel utajiskiaje)
 
Nchi ina vita, inasemekana hawana ligi ila Hilo si tatizo sababu ubora wa timu utathibitishwa kwenye makundi na kuendelea.
Sasa kwa taarifa yako ukisikia tu Yanga ameingia hatua ya makundi, basi utambue fika anaenda kuvunja rekodi nyingine msimu huu.
 
Sasa kwa taarifa yako ukisikia tu Yanga ameingia hatua ya makundi, basi utambue fika anaenda kuvunja rekodi nyingine msimu huu.
Hilo si tatizo. Kwani mm nimesema anaenda kufeli? Mm nimesema kipimo sahihi ni hatua ya makundi na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…