Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Jioni ya leo majira ya saa 1 na dk 15 Coastal Union watakuwa uwanja wa Jamhuri Dodoma wakiwakaribisha Yanga SC.
Mashabiki wengi tumepoteza mzuka.Maisha yamebadilika kama Hadi sasa kuna komenti 6
Ccm imetufikisha hapaMashabiki wengi tumepoteza mzuka.
Live.Mashabiki wengi tumepoteza mzuka.
Nchi imeharibika hii!Nimei miss Tanzania yetu ya watu wenye furaha!! Mpaka muda huu replies 10?🤔🤔🤔🤔
Sio poaNimei miss Tanzania yetu ya watu wenye furaha!! Mpaka muda huu replies 10?🤔🤔🤔🤔
Najaribu kuwaza ni nani aliyetufikisha hapa.Nimei miss Tanzania yetu ya watu wenye furaha!! Mpaka muda huu replies 10?🤔🤔🤔🤔
Kaka achana na habari ya mpira tuwaachie wazee wa daresalamMatokeo vp? Mim sina hata mzuka wa kutazama game
Nenda chini page ya jf,jumla kuna watu elfu kumi,members 700 waliobaki wageniAisee ni kitu cha ajabu nyuzi kama hizi unakuta saa hizi ina kurasa zaidi ya kumi. Kuna kitu kipo tofauti sana kwa watanzania
Lisu,heche, sarungi, TECNajaribu kuwaza ni nani aliyetufikisha hapa.