FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Makolo
20231108_220441.jpg
 
"Wanayanga naona wana furaha mpwitempwite furaha bojobojo"

Walid Mzize anapiga UTOSI wa maana.

Ni maneno ya huyu mtangazaji wa hii mechi na Coast. Ni raha sana kumskiza huyu mtangazaji, cjui anaitwa nani huyu. Atafika mbali huyu.🤣🤣🤣
Ngoja kwanza mkuu
Kede ,hili jina Ni la "Mali ya umma sasaaaa mjiiiteee" au limefanana
 
Hayo maviganja na maviwiko mliyokuwa mnayapunga hapo uwanjani yamepoteaje enyi Uto vyura wa jangwani 😁

Mnajijua kabisa wenye akili ni 2 tu huko, wengine wote ni wehu.

Kila saa kunyoosha limkono kisa tano, na leo mlijiandaa na tano zingine wehu nyie.
Ukiwaza kuwa hao ni marehemu basi we ni miongoni mwa wale wehu wa jangwani (ukitoa mstaafu na dingi akee Haji 😂😂
Kidogo kidogo maumivu yataisha Mkuu. 😂😂

🖐🖐🖐
 
Full time Yanga 6-1 Simba maana coastal ni wadogo zake simba.

Tumemlipia kisasi mzee wa pira objectiff
 
Back
Top Bottom