A aliekatakamba humutuu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2024 Posts 341 Reaction score 714 Mar 2, 2025 #241 King Kong III said: Gusa achia twende kwao. Click to expand... sio hivyo ni gusa achia turudi Ligi kuu.
King Kong III said: Gusa achia twende kwao. Click to expand... sio hivyo ni gusa achia turudi Ligi kuu.
Gamic JF-Expert Member Joined Jun 24, 2021 Posts 1,156 Reaction score 2,271 Mar 2, 2025 #242 Bantu Lady said: YANGA BINGWA π°π°π°π°π°π°π°π° Click to expand... yanga ni bingwa wa uchawi na propaganda eti Bantu Lady!!! Ila uwanjani Simba sc ndiyo watakuwa mabingwa wa ligi ya Nbc 2025 na kuendelea.
Bantu Lady said: YANGA BINGWA π°π°π°π°π°π°π°π° Click to expand... yanga ni bingwa wa uchawi na propaganda eti Bantu Lady!!! Ila uwanjani Simba sc ndiyo watakuwa mabingwa wa ligi ya Nbc 2025 na kuendelea.
L Luhan12 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2019 Posts 550 Reaction score 723 Mar 2, 2025 #243 OKW BOBAN SUNZU said: Naona umeamua kumtishia kwa English. Mkuu Luhan12 usitishike, ingia ChatGPT Click to expand... nimeshiba futari yangu swafi kabisa sina time na wazungu wakina Mzaleee na kizungu chake cha darasa la pili C. Tangu lini msomi ambaye amefika angalau form four B anacomment shudu tena kwa kuirudia zaidi ya mara 5
OKW BOBAN SUNZU said: Naona umeamua kumtishia kwa English. Mkuu Luhan12 usitishike, ingia ChatGPT Click to expand... nimeshiba futari yangu swafi kabisa sina time na wazungu wakina Mzaleee na kizungu chake cha darasa la pili C. Tangu lini msomi ambaye amefika angalau form four B anacomment shudu tena kwa kuirudia zaidi ya mara 5
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 2, 2025 #244 Vincenzo Jr said: Ndio ndio πππππππ Click to expand... Bingwa Bia labda....hahah
Vincenzo Jr said: Ndio ndio πππππππ Click to expand... Bingwa Bia labda....hahah
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 2, 2025 #245 Tate Mkuu said: Kalpana njoo tuungane pamoja kusema kwa sauti π£οΈ Tawire! Click to expand... Tawiree imekuwa yawireeee
Tate Mkuu said: Kalpana njoo tuungane pamoja kusema kwa sauti π£οΈ Tawire! Click to expand... Tawiree imekuwa yawireeee
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Mar 2, 2025 #246 Kalpana said: Bingwa Bia labda....hahah Click to expand... ππππππ