FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Simba icheze hii mechi kwa tahadhari kubwa sana. Kuna watu wenye nguvu na mamlaka wanatamani Simba ipoteze hii mechi ili kupunguza pressure ya derby.

Mchezaji yoyote akionekana haeleweki, toa nje hapo hapo msisubiri mpaka achomeshe.
 
Coast leo ni heri tufie uwanjani kuliko kufungwa na Simba.
hii ndio nguvu ya GSM

Achana na kipindi kile simba anampa costal nauli anafika asbh mchana anacheza mechi anashinda 7
 
Back
Top Bottom