Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
bahati mbaya anapoteza zoteNaona kocha ameanza kuicheza mechi ya Tarehe 8 leo.
Eti eenhπbahati mbaya anapoteza zote
Naona washaipiga pini. Maana nime refresh mpaka basiLeo link ya fawanews mechi ya Simba haifanyi kazi, wameshaipiga block nini aiseeee
Kocha wao ni mmojaSimba wanapasiana kwenye Box kama dodoma Jiji
Tabia inanikwaza hiiKocha wao ni mmoja
Hahahahahaa striker refu amefungaRefa mbona hutoi penalty? Tutavunja vitii...
Upo wapiDa TANESCO wamefanya yao huku hawa mbwa wanakera sana