FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

Ubovu wa Simba unapimwa na nini? Embu tupe data, kapoteza mechi ngapi kwenye ligi, ligi ya mabingwa hali ipoje? Kwanini Simba ni mbovu?
Hapana.
Sisi tuna mipango yetu tu
 
Simba sio mbovu ila ina wachezaji wasio na kiu ya kushinda NBC. Wachezaji ni wazuri ila hawana njaa, wanacheza ilimradi tu pesa iingie mifukoni mwao. Pamoja na fitina za upande wa pili (kurwa), wachezaji wetu hawana morale kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…