Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washa tochiRefa maliza mpira umeme umekatikaaaaa
Uchawi wako utaishia Huko huko sumbawangaHii mechi itaisha 2-2
Tatizo huwa maneno yako yana mikosi.Unaonaje ukatulia?Wameshaingia kwenye mfumo.
Tunawafunga sasa dadeki
Ubora/ubovu wa Simba kupimwa kwa mafanikio ya Yanga huo ni ukichaa.Simba si mbovu , shida inapokuja wanapotaka kujilinganisha na perfomance ya Yanga.
Subiri utaonaUchawi wako utaishia Huko huko sumbawanga
Ndo maana nikauliza anayehoji kuwa Simba ni mbovu ni vigezo gani vimetumika?Hapana.
Sisi tuna mipango yetu tu
Imani yako haijabadilika?Hakika nimeamini Simba ni zigo zito
Mwaka wa 3 bila taji katika ligiUbora/ubovu wa Simba kupimwa kwa mafanikio ya Yanga huo ni ukichaa.
Zile zetu za mfululuMwaka wa 3 bila taji katika ligi
Kama uoni ubovu wa Simba basi wewe ni kipofu!Ubovu wa Simba unapimwa na nini? Embu tupe data, kapoteza mechi ngapi kwenye ligi, ligi ya mabingwa hali ipoje? Kwanini Simba ni mbovu?
Mtani tuache.Wapiga ramli na waganga wote Tanzania ni mashabiki wa Utopolo.
Nani?Gooooooooooooooooooo
Gooooooooooooooooooo