Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta kadi yako na Slip ya Bank kama humtaki MO pale Simba halafu uje na jina la mdhamini mpya sio porojo.Hapa ndipo wakina Mangungu na Jaribu Tena wanapata jeuri ya kuwageuza kama chapati.
Hawajielewi hawa pimbi.Akikujibu nitag
MajiniNani anaongoza ligi kwasasa??
Kama ni mfuatiliaji wa mpira utaona kabisa wachezaji wengi wa Simba quality ipo chini na hata tukishinda hatuchezi mpira wetu wa biriyani hivyo lazima tulalamike.Ubovu wa Simba unapimwa na nini? Embu tupe data, kapoteza mechi ngapi kwenye ligi, ligi ya mabingwa hali ipoje? Kwanini Simba ni mbovu?
Endelea kuwa popoma hivyo hivyo.Majini
Konkoni, Guede, wako Simba?Kama uoni ubovu wa Simba basi wewe ni kipofu!
Simba ni mbovu kuanzia uongozi, uendeshaji, usajili n.k
Ubovu wa Simba unaupima kwa kufungwa na Yanga tu?Simba ni mbovu! Kama wachezaji hawajitumi basi uongozi una shida! Na kama kuna fitna za upande wa pili wa utopolo basi uongozi wa Simba ni mbovu hauna uwezo wa kupambana na fitna za soka la Tanzania!
Simba ya Dalali, Simba ya Rage! Simba ya Kaburu! Simba ya malkia wa nyuki zote hizo zilikuwa Simba za misukosuko ila hazijawahi kufungwa tano na utopolo! Bali Simba ndio ilikuwa inapambana haswa!
Hakuna Simba iliyokuwa mbovu kama ya 2013! Ilikuwa ya vijana wa waliotoka Simba b! Ilikutana na yanya iliyokuwa vizuri kila idara ikiwa chini ya bilionea Manji,ila mechi ya tarehe 20 Oct 2013 Simba ilipata sare ya tatu tatu na yanga tena Simba ikitoka nyuma na kusawazisha goli zote mpaka yanga wakiomba mpira uishe!
Eti Simba inakuja kufungwa tano na yanga halafu linakuja shabiki la mchongo linasema Simba sio mbovu!
Timu inacheza na kupata ushindi wa kubahatisha halafu mtu anasema Simba sio mbovu!
Ok ila kuja na malalamiko ya kutaka Mo aondoke tuanze upya sababu Fred na Jobe hawana viwango ni ujinga. Hakuna shabiki wa Simba anayetaka kuona Simba ikibahatisha bahatisha ila tunachotaka ni kuimprove sio kurudi kutembeza bakuli sasa anapokuja mtu na malalamiko Mo aondoke inabidi awe na jina la mwekezaji mpya huku akionyesha slip ya michango yake ili kuhalalisha malalamiko yake.Kama ni mfuatiliaji wa mpira utaona kabisa wachezaji wengi wa Simba quality ipo chini na hata tukishinda hatuchezi mpira wetu wa biriyani hivyo lazima tulalamike.
Usajili wa Konkoni ulikuwa bora kuwahi kutokea tzEndelea kuwa popoma hivyo hivyo.
Kipindi Yanga inasajili ninyi mkawa mnacheza makida makida.
Acheni kulialia fanyeni investment.
Mna wachezaji washachoka kina miquissone,chama,mzamiru,saidooo,kapombe wazee tayari.
Panueni kikosi muache kulia kama mhaya alokopwa nyapu.
Naunga mkono hoja 🤣😁Hawajielewi hawa pimbi.
Nimetizama game mwanzo mwenga kiubavu Costeri alifanana na Simba.
Yani Simba kashinda Mungu kutaka tu.
Hii coastal sie tulicheza nayo ilikua haifiki golini kwetu ilikua ikipaki basi kuizuia Yanga.
Ila leo imecheza inafunguka bila uoga.
Halafu kuna fala anadiriki kuifananisha Simba na Yanga.
Acha ujinga wewe! Nyie ndio mmekuja mjini kwa mbio za mwenge!Ifike mahali mtu yoyote anayetaka MO afukuzwe sababu ya matokeo aambatanishe kadi ya uanachama na slip ya mchango wake bank kwa Simba kuhalalisha hoja yake.
Ongezea na FredUsajili wa Konkoni ulikuwa bora kuwahi kutokea tz
Nia ya uwekezaji ni Simba kuanza kujitegea, unapokuwa na viongozi Kama. Mangungu anakwambia Kila kitu tutaongea na mwekezaji Ila ni tatizo, wanachama waliopita sio wachangiaji lakini unakataa kuingiza wanachama wapya kisa unaogopa watakaokuja watakuwawanahoji vitu vya msingi msingi pia tatizo pia unaajili CEO anayeamini kuanzisha whatsapp ni mafanikio nalo ni tatizo kwa sababu ameonyesha Hana ubunifu Wala vision ya kuifikisha Simba mbali kutoka ilipo Sasa .Ok ila kuja na malalamiko ya kutaka Mo aondoke tuanze upya sababu Fred na Jobe hawana viwango ni ujinga. Hakuna shabiki wa Simba anayetaka kuona Simba ikibahatisha bahatisha ila tunachotaka ni kuimprove sio kurudi kutembeza bakuli sasa anapokuja mtu na malalamiko Mo aondoke inabidi awe na jina la mwekezaji mpya.
Yanga alikaa miaka mi4, ila simba miaka mi3 inaonekana ajabuMwaka wa 3 bila taji katika ligi