DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Tulieni Mpira Dakika 90..Ahahahah pale daktari anageuka kuwa ndundame a.k.a msaidiz wa mganga wa kienyeji (chawa wa mganga? 😂😂
Ningependa kuwaona mkikoment hivi hivi mpaka mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulieni Mpira Dakika 90..Ahahahah pale daktari anageuka kuwa ndundame a.k.a msaidiz wa mganga wa kienyeji (chawa wa mganga? 😂😂
Ata ningekuwa Mimi naondoka siwezi kufundisha timu mbovu yenye wachezaji wazeeBenchika ndio mazima kaamsha
Ni hali ya Kawaida kwenye Mchezo
Kwa timu hii uvuke nusu fainali ukikutana na Al Ahly,Mamelodi au Petro Luanda? Mkuu acha ukomediMnyama anaendelea kupasha mwili moto kujiandaa na CAF CL QF.
Lengo ni kufika nusu fainali this time haijalishi mpinzani yupi atakayesimama mbele yetu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kiaje? Kaondoka simba au?Benchika ndio mazima kaamsha
Fundi MchundoBabakar fundii sana
Bahasha itolewe kwa hii simba mbovu? Mkuu kuwa seriousHivi vitimu vidogo vimepewa Bahasha Viidindie Simba
Simba ipi Mbovu Mkuu..Bahasha itolewe kwa hii simba mbovu? Mkuu kuwa serious
Simba mbovuSimba ipi Mbovu Mkuu..
Hizo ni Tactics za Mwalimu tu na hili game tunashinda
Mbwehaaaaaa kala SimbaTulia Gongo wazi Dakika Bado.zipo kibao.sana